Harmonize - Teacher (Official Music Video)
Ni Mkali kutokea Bongo Flevani, Harmonize ambae time hii ametuletea wimbo mpya uitwao Teacher, unaweza ukabonyeza play kuona nyimbo mpya kisha usisahau kuandika neno lolote ili mkali huyo akipita asome mlichomuandikia. Watch below:-